41 Baada ya hayo, Elia akamwambia mfalme Ahabu, “Nenda ukale na kunywa. Nasikia kishindo cha mvua.”
Kusoma sura kamili 1 Wafalme 18
Mtazamo 1 Wafalme 18:41 katika mazingira