1 Wafalme 18:42 BHN

42 Basi, Ahabu akaenda zake kula na kunywa; naye Elia akapanda juu ya kilele cha mlima Karmeli, na huko akainama hadi chini na kuuweka uso wake katikati ya magoti yake.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 18

Mtazamo 1 Wafalme 18:42 katika mazingira