1 Wafalme 18:43 BHN

43 Kisha akamwambia mtumishi wake, “Sasa, nenda utazame upande wa baharini.” Mtumishi akaenda, akatazama, kisha akarudi akasema, “Hamna kitu.” Elia akamwambia, “Nenda tena mara saba.”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 18

Mtazamo 1 Wafalme 18:43 katika mazingira