1 Wafalme 19:10 BHN

10 Naye akasema, “Naona uchungu na wivu, ewe Mwenyezi-Mungu, Mungu wa majeshi, kwa sababu watu wa Israeli wamevunja agano lako, wakazibomoa madhabahu zako na kuwaua manabii wako kwa upanga; ni mimi tu niliyebaki, nami pia wananiwinda, waniue!”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 19

Mtazamo 1 Wafalme 19:10 katika mazingira