1 Wafalme 19:9 BHN

9 Huko, akafika penye pango, akakaa humo. Mara neno la Mwenyezi-Mungu likamjia: “Elia! Unafanya nini hapa?”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 19

Mtazamo 1 Wafalme 19:9 katika mazingira