1 Wafalme 19:8 BHN

8 Elia akaamka, akala na kunywa. Kisha akatembea kwa nguvu ya chakula hicho mwendo wa siku arubaini, mchana na usiku, mpaka Horebu, mlima wa Mungu.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 19

Mtazamo 1 Wafalme 19:8 katika mazingira