1 Wafalme 19:12 BHN

12 Tetemeko likapita, kukawa na moto. Lakini Mwenyezi-Mungu hakuwemo katika moto huo. Baada ya moto, pakatokea sauti ndogo, tulivu.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 19

Mtazamo 1 Wafalme 19:12 katika mazingira