1 Wafalme 19:13 BHN

13 Basi, Elia aliposikia sauti hiyo, alijifunika uso kwa joho lake, akatoka na kusimama mlangoni mwa pango. Hapo, akasikia sauti, “Elia! Unafanya nini hapa?”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 19

Mtazamo 1 Wafalme 19:13 katika mazingira