1 Wafalme 19:15 BHN

15 Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Rudi kwa kupitia njia ya jangwani mpaka Damasko. Utakapofika, mpake Hazaeli mafuta awe mfalme wa Aramu.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 19

Mtazamo 1 Wafalme 19:15 katika mazingira