1 Wafalme 19:16 BHN

16 Naye Yehu, mwana wa Nimshi, mpake mafuta awe mfalme wa Israeli. Elisha, mwana wa Shafati, wa Abel-mehola, utampaka mafuta awe nabii mahali pako.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 19

Mtazamo 1 Wafalme 19:16 katika mazingira