1 Wafalme 19:17 BHN

17 Basi, yeyote atakayenusurika upanga wa Hazaeli, Yehu atamuua, na yeyote atakayenusurika upanga wa Yehu, Elisha atamuua.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 19

Mtazamo 1 Wafalme 19:17 katika mazingira