1 Wafalme 19:19 BHN

19 Elia akaondoka, akamkuta Elisha, mwana wa Shafati, analima. Hapo, palikuwa na jozi kumi na mbili za ng'ombe wanalima, na jozi ya Elisha ilikuwa ya nyuma kabisa. Basi, Elia akavua joho lake na kumtupia.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 19

Mtazamo 1 Wafalme 19:19 katika mazingira