1 Wafalme 19:20 BHN

20 Hapo, Elisha akawaacha ng'ombe wake, akamfuata Elia mbio na kumwambia, “Niruhusu kwanza niende kumpa baba yangu na mama yangu busu la kwaheri, kisha nikufuate.” Elia akamjibu, “Nenda! Kwani nimekuzuia?”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 19

Mtazamo 1 Wafalme 19:20 katika mazingira