1 Wafalme 19:21 BHN

21 Basi, Elisha akamwacha Elia, akairudia jozi yake ya ng'ombe, akawachinja ng'ombe hao na kuwapika akitumia miti ya nira kama kuni, akawapa watu, wakala. Kisha akaondoka, akamfuata Elia na kuwa mtumishi wake.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 19

Mtazamo 1 Wafalme 19:21 katika mazingira