1 Wafalme 19:4 BHN

4 naye akatembea mwendo wa siku nzima kuingia jangwani. Basi, akafika, akaketi chini ya mti mmoja, mretemu. Hapo, akaomba afe, akisema, “Imetosha! Siwezi tena. Ee Mwenyezi-Mungu, sasa utoe uhai wangu. Mimi si bora kuliko wazee wangu.”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 19

Mtazamo 1 Wafalme 19:4 katika mazingira