5 Basi, Elia akalala chini ya mti huo, akashikwa na usingizi. Punde, malaika akaja, akamgusa na kumwambia, “Amka ule.”
Kusoma sura kamili 1 Wafalme 19
Mtazamo 1 Wafalme 19:5 katika mazingira