2 Mambo Ya Nyakati 1:1 BHN

1 Solomoni, mwanawe mfalme Daudi, alijiimarisha katika utawala wake, naye Mwenyezi-Mungu, Mungu wake alikuwa pamoja naye, akambariki na kumfanya awe mkuu sana.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 1

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 1:1 katika mazingira