2 Mambo Ya Nyakati 1:12 BHN

12 ninakupa hekima na maarifa. Pia, nitakupa utajiri, mali na heshima zaidi ya mfalme mwingine yeyote aliyekuwako kabla yako na mfalme mwingine yeyote atakayetawala baada yako.”

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 1

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 1:12 katika mazingira