2 Mambo Ya Nyakati 1:3 BHN

3 Kisha akaandamana nao hadi mahali pa ibada huko Gibeoni. Walikwenda huko kwa sababu hapo ndipo mahali lilipokuwa hema la mkutano la Mungu alilolitengeneza Mose mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, nyikani.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 1

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 1:3 katika mazingira