18 Kisha mfalme Rehoboamu alipomtuma Hadoramu aliyekuwa mnyapara mkuu wa kazi za kulazimishwa, watu wa Israeli walimpiga mawe, wakamuua. Ndipo Rehoboamu alipopanda gari lake haraka akakimbilia Yerusalemu.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 10
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 10:18 katika mazingira