2 Mambo Ya Nyakati 10:2 BHN

2 Naye Yeroboamu mwana wa Nebati alipopata habari kuhusu tendo hilo (wakati huo alikuwa bado anaishi Misri alikokwenda alipomkimbia Solomoni) alitoka Misri.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 10

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 10:2 katika mazingira