2 Mambo Ya Nyakati 10:9 BHN

9 Basi, akawauliza, “Nyinyi mnatoa shauri gani ili tuweze kuwajibu watu hawa walioniambia, ‘Punguza mzigo ambao baba yako alitutwika?’”

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 10

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 10:9 katika mazingira