2 Mambo Ya Nyakati 12:3 BHN

3 akiwa na magari 1,200, wapandafarasi 60,000, na askari wengi mno wasiohesabika, waliotoka Misri pamoja naye: Walibia, Wasukii na Waethiopia.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 12

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 12:3 katika mazingira