2 Mambo Ya Nyakati 12:9 BHN

9 Basi, mfalme Shishaki wa Misri aliushambulia Yerusalemu, akaichukua hazina yote ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu na ya ikulu, pamoja na ngao za dhahabu alizozitengeneza mfalme Solomoni.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 12

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 12:9 katika mazingira