2 Mambo Ya Nyakati 13:8 BHN

8 “Sasa nyinyi mnadhani mnaweza kupinga ufalme wa Mwenyezi-Mungu aliopewa Daudi na uzao wake kwa sababu eti mnalo jeshi kubwa na sanamu za dhahabu za ndama, alizowatengenezea Yeroboamu kuwa miungu yenu!

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 13

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 13:8 katika mazingira