13 Asa pamoja na wanajeshi wake wakawafuatilia mpaka Gerari, wakawaua Waethiopia wengi sana, asibaki hata mmoja, kwani walikuwa wamekwisha shindwa na Mwenyezi-Mungu pamoja na jeshi lake. Jeshi la Yuda lilichukua nyara nyingi sana.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 14
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 14:13 katika mazingira