2 Mambo Ya Nyakati 15:16 BHN

16 Mfalme Asa alimwondoa hata Maaka, mama yake, katika cheo chake cha mama malkia, kwa sababu alitengeneza sanamu ya kuchukiza ya Ashera, mungu wa kike. Asa alikatilia mbali sanamu hiyo, akaipondaponda na kuiteketeza katika bonde la kijito Kidroni.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 15

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 15:16 katika mazingira