2 Mambo Ya Nyakati 15:2 BHN

2 naye akatoka kwenda kumlaki mfalme Asa, akamwambia, “Nisikilize, ee mfalme Asa na watu wote wa Yuda na Benyamini! Mwenyezi-Mungu yu pamoja nanyi, ikiwa mtakuwa pamoja naye. Mkimtafuta, mtampata, lakini mkimwacha naye atawaacha.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 15

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 15:2 katika mazingira