2 Mambo Ya Nyakati 15:5 BHN

5 Zamani hizo, hakuna mtu aliyeweza kuingia wala kutoka kwa usalama kwa sababu hapakuwa na amani; ghasia nyingi mno ziliwasumbua wananchi wa kila nchi.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 15

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 15:5 katika mazingira