9 Asa aliwaita watu wote wa Yuda na Benyamini, na wengine wote waliokuwa wakikaa nchini mwake kutoka Efraimu, Manase na Simeoni. Hawa walikuja kwake walipoona kuwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, alikuwa pamoja naye.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 15
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 15:9 katika mazingira