10 Maneno haya yalimfanya Asa amkasirikie sana Hanani mwonaji, hata akamfunga gerezani. Wakati huohuo, Asa alianza kuwatesa vikali baadhi ya watu.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 16
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 16:10 katika mazingira