2 Mambo Ya Nyakati 16:12 BHN

12 Katika mwaka wa thelathini na tisa wa ufalme wake, Asa alishikwa na ugonjwa wa miguu, akaugua sana. Lakini hata wakati huo, Asa hakumgeukia Mwenyezi-Mungu amsaidie, bali alijitafutia msaada kutoka kwa waganga.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 16

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 16:12 katika mazingira