2 Mambo Ya Nyakati 16:14 BHN

14 Alizikwa katika kaburi alilokuwa amejichimbia mwenyewe mwambani, katika mji wa Daudi. Walimlaza ndani ya jeneza lililokuwa limejazwa manukato ya kila aina yaliyotayarishwa na mafundi wa kutengeneza marashi, wakawasha moto mkubwa sana kwa heshima yake.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 16

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 16:14 katika mazingira