7 Wakati huo, Hanani mwonaji alimwendea mfalme Asa wa Yuda, akamwambia, “Kwa sababu ulimtegemea mfalme wa Shamu badala ya kumtegemea Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, jeshi la mfalme wa Shamu limekuponyoka.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 16
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 16:7 katika mazingira