2 Mambo Ya Nyakati 17:11 BHN

11 Baadhi ya Wafilisti walimletea Yehoshafati zawadi pamoja na fedha nyingi, na Waarabu wengine nao wakamletea kondoo madume 7,700, na mabeberu 7,700.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 17

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 17:11 katika mazingira