14 Hii ndiyo orodha yao kulingana na koo za baba zao: Adna alikuwa kamanda wa vikosi vya askari 1,000 wa kabila la Yuda. Chini yake, kulikuwa na askari laki tatu.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 17
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 17:14 katika mazingira