2 Mambo Ya Nyakati 17:5 BHN

5 Mwenyezi-Mungu, aliuimarisha ufalme wa Yuda mikononi mwa Yehoshafati, nao watu wote wakamletea zawadi, akatajirika sana na kuheshimika.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 17

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 17:5 katika mazingira