8 Walawi tisa na Makuhani wawili waliandamana nao. Walawi hao walikuwa Shemaya, Nethania, Zebadia, Asaheli, Shemiramothi, Yehonathani, Adoniya, Tobia na Tob-adoniya; na makuhani walikuwa Elishama na Yehoramu.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 17
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 17:8 katika mazingira