2 Mambo Ya Nyakati 18:34 BHN

34 Nayo mapigano siku hiyo, yakazidi kuwa makali huku mfalme wa Israeli amejiegemeza mwenyewe garini akiwaelekea Washamu mpaka jioni. Halafu mnamo machweo ya jua, alifariki.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 18

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 18:34 katika mazingira