2 Mambo Ya Nyakati 19:10 BHN

10 Kila mara ndugu zenu kutoka katika mji wowote ule wanapowaletea shtaka lolote kuhusu uuaji, uvunjaji wa sheria, amri, kanuni au maagizo, washaurini vema ili wasije wakamkosea Mwenyezi-Mungu. Msipofanya hivyo, nyinyi pamoja na ndugu zenu mtapatwa na ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu. Lakini mkiutekeleza wajibu wenu, hamtakuwa na hatia.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 19

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 19:10 katika mazingira