2 Mambo Ya Nyakati 19:2 BHN

2 Lakini mwonaji Yehu mwana wa Hanani, alikwenda kumlaki mfalme, akamwambia, “Je, unadhani ni vema kuwasaidia waovu na kuwapenda wamchukiao Mwenyezi-Mungu? Mambo uliyofanya yamekuletea ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 19

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 19:2 katika mazingira