4 Mfalme Yehoshafati alikaa Yerusalemu, lakini hata hivyo, mara kwa mara aliwatembelea watu wa Beer-sheba kusini, mpaka milima ya Efraimu, upande wa kaskazini. Alifanya hivyo ili kuwavutia watu wamrudie Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zao.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 19
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 19:4 katika mazingira