2 Mambo Ya Nyakati 19:8 BHN

8 Mjini Yerusalemu, Yehoshafati aliteua Walawi kadhaa, waamuzi na baadhi ya wakuu wa jamaa za Waisraeli wawe waamuzi wa magomvi yahusuyo uvunjaji wa sheria za Mwenyezi-Mungu, au ugomvi baina ya wakazi wa mji.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 19

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 19:8 katika mazingira