28 Walipofika Yerusalemu, walikwenda moja kwa moja hadi nyumba ya Mwenyezi-Mungu, wakipiga vinanda, vinubi na tarumbeta.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 20
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 20:28 katika mazingira