2 Mambo Ya Nyakati 21:12 BHN

12 Nabii Elia alimpelekea mfalme Yehoramu barua ifuatayo:“Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Daudi babu yako, anakulaani kwa sababu hukufuata mwenendo wa Yehoshafati baba yako, au wa Asa mfalme wa Yuda.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 21

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 21:12 katika mazingira