2 Mambo Ya Nyakati 22:9 BHN

9 Alimtafuta Ahazia, naye akakamatwa akiwa amejificha huko Samaria. Walimleta hadi kwa Yehu, akauawa. Waliuzika mwili wake kwani walisema, “Yeye ni mjukuu wa Yehoshafati, ambaye alimtafuta Mwenyezi-Mungu kwa moyo wake wote.”Hapakubaki hata mtu mmoja wa jamaa ya Ahazia ambaye angeweza kuwa falme.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 22

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 22:9 katika mazingira