2 Mambo Ya Nyakati 23:20 BHN

20 Aliwachukua makapteni wa jeshi, waheshimiwa, watawala wa watu, na wakazi wote; nao wakamsindikiza mfalme kutoka nyumba ya Mwenyezi-Mungu, wakapitia katika lango la juu mpaka ikulu. Kisha wakamkalisha mfalme kwenye kiti cha enzi.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 23

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 23:20 katika mazingira