2 Mambo Ya Nyakati 23:3 BHN

3 Mkutano wote ukafanya agano na mfalme katika nyumba ya Mungu. Yehoyada akawaambia, “Mwangalie huyu mwana wa mfalme! Mwacheni atawale kulingana na ahadi aliyoitoa Mwenyezi-Mungu kuhusu uzao wa Daudi.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 23

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 23:3 katika mazingira