2 Mambo Ya Nyakati 24:21 BHN

21 Lakini wakamfanyia njama; na kwa amri ya mfalme, wakampiga mawe kwenye ua wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu wakamuua.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 24

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 24:21 katika mazingira