23 Mwishoni mwa mwaka, jeshi la Washamu lilishambulia Yerusalemu na Yuda. Waliwaua wakuu wote, wakateka nyara nyingi na kumpelekea mfalme wa Damasko.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 24
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 24:23 katika mazingira